Chombo kipya cha kimataifa kilichoitwa "Baraza la Amani" ambacho kilizinduliwa mwanzoni mwa mwaka na rais wa Marekani, kinakutana kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Februari 19, nchini Marekani.
Waasi wanaohusishwa na Islamic State wamewaua raia 89 katika mashambulizi mengi katika eneo la Lubero mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani ...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameukubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump, wa kujiunga na Bodi ya Amani ya Gaza ambayo ni sehemu ya awamu ya pili ya mpango wa amani kwa ajili ya ...
To personalise content, tailor ads and provide best user experience, we use cookies. By using our site, you agree to use our cookies. Privacy policy Accept & Continue ...
Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kwamba Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ni kikwazo katika mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine. Trump alizungumza na shirika la habari la Reuters ...
RAIS Samia Suluhu Hassan yuko jijini Addis Ababa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Taarifa ya Mkuru ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results