Msanii Petra Bockle ni mlimbwende na mama wa mtoto mmoja. Mbali na kuwa mmoja wa wanamuziki wa kike waliobobea katika mtindo wa muziki wa kufoka au RAP ni mwanamke ambaye amepitia changamoto chungu ...
US-based Kenyan artist Francis Odhiambo Otieno popularly known as Msanii Foreman, is back with a mission to help the needy. The multi-talented artist, performer, and singer jetted back in Kenya a ...
Msanii wa Kenya King Kaka anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa. King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limemkamata msanii wa filamu mkoani humo Ibrahimu Kitundu (18) Mkazi wa Kata ya Ipuli kwa ...
Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince anauona muziki ni maisha, jambo linalomfanya afikirie zaidi namna mashabiki wake wataishi na kazi zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ...
Kutana na msanii wa muziki wa nyimbo za jadi kutoka Dar es salaam Tanzania, Che Mundu Gwao ambaye anazungumzia tasnia ya muziki huo na uelekeo wake. Inatokea sasa hivi ...
Mmoja wa wasanii wa miondoko ya kufoka maarufu "rap" nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes, anayejulikana kama AKA, ameuawa jana usiku kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa ulioko kusini mashariki mwa jiji ...
Mutalemwa Jason kwa jina la kisanii Mc Nash kutokea Tanzania ni msanii wa muziki wa kufokafoka au Hip Hop. Ametumia jukwaa hilo kuchangia mageuzi ya jamii yake. Nash anapambana kuzima vitendo vya ...