Ilikuwa hadi tarehe 22 Agosti mwaka huu ambapo Jimmy Lippert Thyden, wakili kutoka Ashburn katika jimbo la Virginia la Marekani, hatimaye aliweza kumkumbatia mama yake mzazi Maria Angelica Gonzalez, ...
Ikiwa maisha ya mtu hulingana na mwanzo wa maisha yake yanavyokuwa basi huenda maisha ya Lydia Nyambura kutoka Kenya yangekuwa na taswira ya shida na umasikini mkubwa, aghalabu anavyosema yeye. Akiwa ...
Nairobi — ODM leader Raila Odinga has released yet another hit song this time with musician Bahati popularly referred to as 'mtoto wa mama' in a bid to popularize his presidential ticket under the ...