Chombo kipya cha kimataifa kilichoitwa "Baraza la Amani" ambacho kilizinduliwa mwanzoni mwa mwaka na rais wa Marekani, kinakutana kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Februari 19, nchini Marekani.
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano wametaka makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza yawe ya kudumu na wamekosoa juhudi za Israel za kupanua udhibiti katika Ukingo ...
WASANII mbalimbali wilayani Kahama mkoani Shinyanya wametakiwa kutengeneza maudhui yenye maadili mema kwa jamii, badala ya kuchochea vurugu na mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Ofisa Utamaduni wa ...
Wakati serikali ya Ethiopia ikiendeleza operesheni kali za kijeshi dhidi ya waasi katika eneo la Oromia, mzozo huo unaendelea kuwaathiri pakubwa raia, huku pande zote zikilaumiwa kwa ukiukwaji wa haki ...
Shirika la habari la Reuters liliripoti, likiwanukuu maafisa wawili wa Marekani, kwamba jeshi la nchi hiyo linajiandaa kwa operesheni inayowezekana dhidi ya Iran ndani ya wiki kadhaa ikiwa Donald Trum ...
RAIS Samia Suluhu Hassan yuko jijini Addis Ababa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Taarifa ya Mkuru ...
SERIKALI kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), imeidhinisha marekebisho ya katiba ya Klabu ya Simba baada ya kukamilika ...
Kampuni ya Umeme ya Tokyo, au TEPCO inayoendesha mtambo wa umeme wa nyuklia wa Fukushima Namba Moja, inapanga kuanzisha uchunguzi wa ndani ya chombo cha shinikizo cha moja ya vinu baadaye mwaka huu.
EX-FINANCE minister and former Zanu PF politburo member Ignatius Chombo has regained his Allan Grange Farm in Raffingora after the Supreme Court ruled in his favour in a case in which the government ...
Chombo cha habari cha Iran kimesema mtu mmoja ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko kuliotokea kwenye jengo la makazi kusini mwa nchi hiyo. Mlipuko huo ulitokea katika jiji la Bandar Abbas ...
Kwa mtazamo wa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, kukubali masharti hayo kunaweza kuwa hatari zaidi kuliko vita vya muda ...
Umoja wa Ulaya unaichunguza AI ya Grok ya Elon Musk baada ya kipengele chake cha deepfake kuzalisha mamilioni ya picha za ngono za wanawake na watoto. Hatua hii ni mtihani wa kwanza mkubwa kwa sheria ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results