KATIKA wimbo wake mpya wa African Soldier, msanii kutoka Nigeria, Patoranking amewataja nyota wawili wa Tanzania, Ali Kiba na Diamond Platnumz kama wanajeshi.
MWANAMITINDO Mtanzania maarufu kwa jina la Ceccy ametokea kama mrembo (video vixen) kwenye video mpya ya wimbo wa rapa wa Marekani, Lil Baby uitwao ‘Mrs Trendsetter’.